Drivers at Rongai Workshop and Transport Limited
Nafasi Ya Kazi – Dereva
Kampuni maarufu ya uchukuzi iliyo na vituo vyake karibu na Nakuru na Mombasa ina nafasi ya kazi kwa Dereva wa Trela nzito.
Ni lazima awe na vyeti vifuatavyo:-
- Leseni halali ya I – Art. M/V
- Kitambulisho halali
- Barua kutoka kwa mwajiri wako wa zamani
- Onyesha kwa vyeti kuwa umeendesha lori lenye uzito (semi trailer) kwa muda usiopungua miaka mitano.
Tuma barua na nakala zako kwa:-
Mkurugenzi Mkuu,
Sanduku la Posta 15030
Nakuru 20100